Uongozi wa Yanga waweka hadharani mchanganuo wa mapato na matumizi kwa mwaka 2022/23. Jumla ya mapato kwa msimu huu ni bilioni 17.8
NiMkutano Mkuu wa Yanga uliofanyika leo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)
#YangaSC #MkutanoMkuu #MkutanoMkuuYanga #JNICC