Azam FC imeuanza kinyonge msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwa kulazimishwa suluhu na JKT Tanzania kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo......
Tathmin ya mchezo huo, matarajio ya benchi la ufundi kwa msimu huu kutoka kwa kocha Youssouph Dabo pamoja na ujenzi wa uwanja mpya wa mazoezi Azam Complex..... ni miongoni mwa mambo yaliyomo humu ndani ya kipindi hiki...