#KufuzuAFCON2025: Tazama ‘vita’ ya maneno kati ya Ally Kamwe wa Yanga SC na Ahmed Ally wa Simba SC walipokutana kwenye mkutano na waandishi wa habari kuelekea mechi ya #KufuzuAFCON2025 kati ya Taifa Stars dhidi ya Ethiopia.
#AFCON2025 #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ #AFCONQualifiers #TaifaStars #Tanzania #Ethiopia