“Mzee Manara vilevile tumempa jezi ya Simba….atachagua mwenyewe kuvaa au kwenda kumpa……..”.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally awafanyia jambo magwiji wa soka la Tanzania , Sunday Manara na Abdallah Kibaden kwa mchango wao kwenye soka la Tanzania, aeleza sababu, wenyewe wazungumza huku utani wa jadi ukitawala…