Kutoka kipindi cha Viwanjani, Geofrey Mwamnyanyi na Michael Hyera wanachambua mambo muhimu ya kuzingatia kuelekea mchezo wa kuwania tiketi ya AFCON 2025 kati ya Tanzania #TaifaStars dhidi ya Ethiopia utakaopigwa Septemba 4 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam