Highlights | JKU 2-0 Chipukizi United | Ngao ya Jamii Zanzibar 01/09/2024

Опубликовано: 27 Октябрь 2024
на канале: Azam TV
2,976
16

NGAO YA JAMII: Magoli mawili kutoka kwa Ahmed Khamis Machano dakika ya 9 na Koffi Hamza dakika ya 83 yameipa ushindi wa ngao ya Jamii, JKU kwa kuipiga Chipukizi United mabao 2-0 kwenye Dimba la Amaan Complex.