Yanga imeanza ligi kwa kuichapa Kagera Sugar mabao 2-0 ugenini huku Azam ikibanwa mbavu na JKT Tanzania kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.....
Je, nini kilisababisha matokeo haya....???
Fuatilia uchambuzi wa mechi hizo, ... dawatini akiwepo Leonard Musikula, Michael Kashinde na Charles Abel ...host akiwa ni Idd Salum Kidedea....