“…tangu msimu umeanza mashabikiwamevaa sare… lakini sasa wamevaa jezi”
Dodoma Jiji FC imetambulisha jezi mpya kwa ajili ya kutumika msimu huu wa 2024/25, afisa habari wake Moses Mpunga achambua maudhui yaliyomo huku akirusha dongo kwa wapinzani wao…..