DAKIKA 90 (26/08/2024) | Walichokivuna Yanga na Azam raundi ya kwanza CAF CL na moto wa Simba NBC PL

Опубликовано: 29 Октябрь 2024
на канале: Azam TV
818
7

Ni uchambuzi wa kina kuhus mechi za raundi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika CF CL zikiwahusu Yanga Sc na Azam FC.....

Katika raundi hii, yanga imefuzu kwa jumla ya mabao 10-0 dhidi ya Vital'O ya Burundi huku Azam FC ikitupwa nje kwa jumla ya magoli 2-1 na APR ya Rwanda....

Kipindi hiki pia kimechambua baadhi ya mechi za raundi ya kwanza na ya pili Ligi Kuu ya NBC ikiwemo namungo vs Tabora United, Kagera Sugar vs Singida Black Stars na Simba vs Fountain Gate iliyomalizika kwa Simba kushinda 4-0 kwenye uwanja wa KMC.

Wachambuzi ni Leonard Musikula, Michael Kashinde na Charles Abel chini ya host Kennedy Moses.

#Dakika90 ni kila Jumatatu saa 4:30 usiku #AzamSports1HD