“Sio taifa kubwa kwa mafanikio ya kimpira” maneno ya mchambuzi wa soka Geofrey Mwamnyanyi akiuchambua mchezo wa leo wa #KufuzuAFCON2025 kati ya Taifa Stars dhidi ya Ethiopia.
Pamoja na Ethiopia kutokuwa na historia ndefu katika soka, Mwamnyanyi anaikumbusha Stars kuingia kwa tahadhari.
#AFCON2025 #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ #AFCONQualifiers #TaifaStars #Tanzania #Ethiopia