#UNAFWU17 Tanzania yaanza kwa kishindo michuano ya mataifa ukanda wa Kaskazini mwa Afrika, UNAF kwa wanawake U17, ikiicharaza Misri mabaoa 4-1.
Hii hapa taarifa ya Fatma Chikawe kutoka Tunis Tunisia ambaye amezungumza pia na kocha wa kikosi hicho, Bakari Shime pamoja na ujumbe kutoka ubalozi wa Tanzania nchini Tunisia.
FT: Egypt 1-4 Tanzania.
#UNAFGirlsU17Tunisia2024 #UNAFU17 #SerengetiGirls #SerengetiGirlsTunisia #Tunis2024