KUTOKA AZAM FC | "....timu nzuri tunayo, benchi la ufundi zuri tunalo... sasa kwanini hatuendi"
Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe anafichua kisa cha kuachana na kocha wao Youssoph dabo na wasaidizi wake wote akizitaja mechi za Ngao ya Jamii na Ligi ya mabingwa Afrika……
Ibwe pia ameeleza hatua waliyofikia katika mchakato wa kusaka kocha mpya akisema hadi sasa mchujo umebakiwa na makocha wanne kati ya wengi waliotuma maombi….