KINACHOENDELEA SIMBA………
“…tunakusudia kucheza mchezo mwingine wa kirafiki tarehe 7”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba ameleeza sababu za kuhitaji mchezo mwingine wa kirafiki kabla ya kuwakabili Al Ahli Tripoli….
….aeleza hatma ya Ayoub Lakred akisema “…unaweza hata ukamsahau”
…..athibitisha kuwa watamkosa Fabrice Ngoma ambaye kwa sasa yuko nchini kwao DR Congo akisema “…ameomba dharura, ana matatizo ya kifamilia”
#SimbaSC #AhmedAlly