Lionel Ateba amefunga goli katika mchezo wake wa kwanza ndani ya Simba, lakini likachomolewa kipindi cha pili na Serge Pokou dakika ya 76, na matokeo yakawa ni sare ya bao 1-1 kati ya Simba vs Al Hilal.
Ni mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye Dimba la KMC, Mwenge Dar es Salaam