EXCLUSIVE | Try Again alipotangaza kujiuzulu Simba SC huku akitaja mafanikio yake (Full Interview)

Опубликовано: 01 Октябрь 2024
на канале: Azam TV
34,197
331

Ni mahojiano maalum na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah Muhene 'Try Again' ambaye ametangaza rasmi kuachia ngazi kwenye nafasi hiyo huku akiweka wazi sababu na kumuomba Muwekezaji Mohamed Dewji kurejea kwenye kiti hicho.

Katika mahojiano haya na Patrick Nyembera, Try Again pia ametaja mafanikio yake katika kipindi cha miaka saba ya uongozi wake, akifichua kuwa aliikuta Simba ikiwa haina hata ofisi.

Pia amezungumzia ishu ya usajili mbovu, sababu za kutimua makocha na suala la usaliti ndani ya timu akikiri kwamba "kuna baadhi ya wachezaji si waaminifu".

#TryAgain #PatrickNyembera #SimbaSC