MIAKA 60 YA JWTZ: Tazama msanii wa muziki wa singeli, Dulla Makabila ‘alivyowapagawisha’ vijana wa JKT katika sherehe za kilele cha miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika dimba la Uhuru Dar es Salaam.
Katika sherehe hizo mgeni rasmi alikuwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
#JWTZ #Miaka60YaJWTZ