Dakika takribani saba za Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akiwaita Watanzania kwenda kuujaza uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuipa nguvu Taifa Stars kwenye mchezo wake dhidi ya Ethiopia.
Ni mchezo wa #KufuzuAFCON2025 ambao utapigwa Jumatano ya Septemba 4.
Ally Kamwe na Hasheem Ibwe hawajaacha ‘kumchokoza’
#AFCON2025 #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ #AFCONQualifiers #TaifaStars #Tanzania #Ethiopia