CCM yawasha taa ya kijani, wagombea wake wa Urais ni Dkt. John Magufuli na Dkt. Hussein Mwinyi kwa Zanzibar
Aliyekuwa katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana asamehewa huku kufukuzwa kwa Membe kukibarikiwa
Ungana nasi katika uchambuzi wa habari mbalimbali katika Alasiri Lounge huku taarifa kubwa ikiwa ni uteuzi wa Dkt. John Magufuli pamoja na Dkt. Hussein Mwinyi kupeperusha benedra ya CCM kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 kwa Tanzania Bara na Zanzibar.
Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz