Zaidi ya watu 8,000 wamefariki dunia kufuatia vita kati ya Urusi na Ukraine huku zaidi ya watu 13,000 wakijeruhiwa.
Je, mwaka mmoja wa vita ya Urusi na Ukraine una maana gani kwa usalama wa dunia na athari za kiuchumi kwa ujumla.
Moses Mohamed anaungana na wachambuzi wa kimataifa AbdulAziz Jaad, Abdulshakur Aboud na Maggid Mjengwa kujadili mwaka mmoja wa vita hivyo.