Neno la ufunguzi kutoka kwa Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe,...dua kutoka kwa viongozi wa dini, kuwasili kwa Bi Fatma Karume, Gerson Msigwa, George Mkuchika na wageni wengine........
Ni Mkutano Mkuu wa Yanga unaofanyika leo kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, Dar es Salaam na kukufikia mbashara #AzamSports2HD