Simba SC imeipa kichapo cha mabao 6-0 Dodoma Jiji FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la KMC, Dar es Salaam.
Elie Mpanzu ndiye aliyeitanguliza Simba dakika ya 16 na kisha Jean Charles na Kibu Denis wakafunga mawili kila mmoja huku linguine likiwekwa nyavuni na Steven Desse Mukwala…
Haya hapa magoli yote...