Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu NIMR mkoani Mbeya kwa kushirikiana na Serikali ya Marekani inaendesha tafiti tatu za Chanjo ya Virusi Vya Ukimwi VVU na matokeo yake yatawekwa hadaharani ifikapo mwaka 2020/2021.
#AzamTVUpdates #AzamTVApp #AzamTV #AzamTWO