MKUTANO MKUU YANGA | Serikali yaridhia Yanga kujenga uwanja, yaipa masharti

Опубликовано: 23 Октябрь 2024
на канале: Azam TV
17,816
152

MKUTANO MKUU YANGA: “Tumepokea maombi na tumeridhia kuyaingiza katika mpango wa uendelezaji wa eneo hili la Jangwani” maneno ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa akijibu ombi la Yanga SC kuhusu eneo la ujenzi wa uwanja wao.

Ni Mkutano Mkuu wa Yanga unaofanyika leo kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

#YangaAGM2024 #YangaSC2024 #YangaSC #AGM2024 #MkutanoMkuuYanga #MkutanoMkuuYanga2024