“Tumeanza kunogewa na kufanya vizuri” maneno ya Afisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Cliford Mario Ndimbo akizungumzia maandalizi ya Taifa Stars na namna Watanzania walivyoanza kuzoea kuziona timu zao za taifa zikifanya vema kwenye anga la kimataifa.
Septemba 4, Taifa Stars itashuka dimbani kucheza dhidi ya Ethiopia katika mtanange wa #KufuzuAFCON2025
#KufuzuAFCON2025