Msikie msanii wa Bongo Fleva, Foby ‘akigonga’ kionjo cha wimbo maalumu kuhusu Taifa Stars ikiwa ni hamasa kuelekea mechi ya #KufuzuAFCON2025 dhidi ya Ethiopia katika dimba la Benjamin Mkapa.
Ally Kamwe Mboto Haji na wasanii wengine wanogewa na wimbo huo
#AFCON2025 #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ #AFCONQualifiers #TaifaStars #Tanzania #Ethiopia