Ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) unaopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam ukishuhudia Yanga wakicheza pungufu dhidi ya Kagera Sugar baada ya kiungo wake Mohamed Issa, ‘Mo Banka’ kupata kadi ya pili ya njano na kutolewa nje kwa kadi nyekundu. Tazama ilivyokuwa.