“Tutawapiga na tutawachamba” maneno ya msanii wa Bongo Movie, Husna Sajent akizungumzia mambo yatakavyokuwa Jumatano kwenye mchezo wa #KufuzuAFCON2025 dhidi ya Ethiopia.
#AFCON2025 #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ #AFCONQualifiers #TaifaStars #Tanzania #Ethiopia