MTOTO WA MIAKA 5 ACHOMWA MOTO VIGANJA VYAKE NA MAMAAKE MZAZI AKIDAIWA KUIBA SH 250 MTWARA.

Опубликовано: 22 Июнь 2025
на канале: Faida Online TV
15,494
58

Ni tukio lililotokea siku ya Ijumaa ya Septema 30 2022 katika kijiji cha Namanjele kata ya Dihimba Halmashauri ya wilaya ya Mtwara Mkoani Mtwara ambapo mtoto Lukumani mwenye miaka mitano (5) amechomwa moto viganja vyake vya mikono na Mama yake mzazi akimtuhumu kuiba pesa Tsh 250 pamoja na kula Dagaa walioandaliwa kwa ajili ya mboga.

Faida Online TV, Tumefika Kijijini hapo ili kupata undani wa taarifa hiyo.
Usisahau Ku subscribe youtube channel hii ili kuwa wa kwanza kupata habari zetu.