Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Arabi Jafari Mnyongo ambae ni Mwanafunzi wa Kidato cha Pili katika Shule ya Sekondari Ndumbwe iliyopo kata ya Ndumbwe Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara amefariki dunia baada ya kung'atwa na Nyoka siku ya Desemba 27 2023 alipokuwa akitokea Shambani.
Baada ya kupata taarifa hiyo, Faida Online Tv tumefika katika Kijiji hicho na kuzungumza na Ndugu, Jamaa na Marafiki ili kupata undani wa taarifa hiyo.
SUBSCRIBE CHANNEL HII YOUTUBE ILI KUPATA HABARI ZETU.