Mahojiano na Mke wa mwigizaji na mchekeshaji maarufu nchini, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’, Aisha Yusufu (39), akielezea mambo mbalimbali kuhusiana na ugonjwa unaomkabili mume wake na matibabu ambayo ameshapata hadi sasa kama walivyoongea na MCL Digital katika Hospital ya Tumaini.