Yanga SC 6-0 Vital'O FC | Highlights | CAF CL 24/08/2024

Опубликовано: 20 Октябрь 2024
на канале: Azam TV
578,892
4.3k

Clatous Chama amefunga goli moja na kutoa assist nne, Yanga SC ikiwanyoosha Vital'O ya Burundi kwa kichapo kizito cha magoli 6-0 katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi....

Waliofunga magoli hayo ni Pacome Zouzoua kwa penati dakika ya 14, Clement Mzize dakika ya 49, Clatous Chama dakika 51, Prince Dube dakika 71, Stephane Aziz Ki dakika ya 78 na Mudathir Yahya dakika ya 86.