Unaweza kuandika javascript kwakutumia Javascript text editor tofauti tofauti, kama vile Visual studio code, Sublime, Notepad++ na Atom lakini katika hii kozi tutatumia VisualStudio code ambayo unaweza ukaidownload kupitia code.visualstudio.com. Visualstudio code ni editor ambayo ni free, ni nyepesi (sio nzito kwenye ku load mafaili, kufungua project n.k) ukilinganisha na text editor nyingine.