Marekebisho.
As,alaykum warahmatullahi wabarakaatuh. Ndugu hapo nilikosea matamshi na baya zaidi nilirejea ila walioiedit video hawakuondoa na kuweka lafdhi sahihi. Kumradhi. Hapo niliposema ukhfuniy panasomeka UKHFINIY ndio sahihi kilugha. Lakini kidini hata vile inakubali kwani Allha huhukumia nia na sio matamshi. 🙏🙏 was salaamu alaykum warahmatullahi wabarakaatuh