KNCHR ilioonyesha watu 66 walitekwa nyara wakati wa maandamano lakini Rais asema kinaya

Опубликовано: 03 Март 2025
на канале: NTV Kenya
2,739
8

Leo, ulimwengu unaadhimisha siku ya kimataifa ya waathiriwa wa kutoweka na kutekwa nyara . Tume ya kitaifa ya haki za kibinadamu ya kenya (KNCHR) ilioonesha kuwa kuna watu 66 waliotekwa nyara au kutoweka wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedah mwaka 2024, yaliyotokea kati ya mwezi juni na julai. lakini kinanya kikubwa ni kuwa rais william ruto ameshikilia kuwa bado hajapata majina ya watu ambao wametekwa nyara au kutoweka tangu kuanza kwa maandamano hayo dhidi ya serikali.

Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya