JAMBO MOJA Lyrics VIDEO

Опубликовано: 13 Ноябрь 2024
на канале: Rayzin Media
8,569
36

I DO NOT OWN COPYRIGHT TO THIS SONG.
This song was resung by Signature Music Group and was originally sung by Kurasini SDA choir.

Lyrics:
Kuna jambo moja sitaki kusikia masikioni mwangu
Jambo gani
Kwamba Shetani anainuka katikati ya wana wa Mungu
Kuna Shirika gani kati ya nuru na giza haiwezekani kamwe

Jambo moja lanipa faraja Yesu anaweza yote kwa jina lake mapepo yakimbia
ni mwana wa Mungu Shetani hana mamlaka tena kwa watoto wa Yehova
anahusubiri moto wa milele siku hiyo inakuja.

Kuna jambo moja nataka kusikia masikioni mwangu
Jambo gani
Kwamba Yesu anainuliwa katikati ya wana wa Mungu
Kuna Shirika gani kati ya nuru na giza haiwezekani kamwe