Mahitaji
Mchele kikombe 1 na 1/2
Sukari kikombe kasoro 3/4 au zaidi kama utapenda
Tui la nazi kikombe 1
Hamira kijiko 1 cha chai
Hiliki ya unga robo 1/4 kijiko
Mafuta ya kuchomea kiasi tu
Kwa kunua chuma cha vitumbua boyeza hapa https://goo.gl/hVVbyM