Kuku pound 1 na 1/2 kiasi gram 680 mpaka kilo 1
Vitunguu 2 vyeupe au manjano
Tangawizi mbichi kiasi kidole cha gumba
Kitunguu thom kiasi chembe 8-10
Pilipili mbichi kiasi utakachopenda
Kikombe 1 mtindi mzito
Nusu kikombe korosho ( roweka kiasi dakika 20 kwa maji ya vuguvugu ) au 1/2 cup heavy cream
1/4 kikombe majani ya nanaa
1/2 kikombe majani ya dhania
Mafuta ya kupikia vjk 2
Vjk 2 vya chai unga wa dhania
Vjk 2 vya unga wa uzile
Vjk 2 vya pilipili manga ya unga
Vjk 2 vya garam masala
Kjk 1 cha kulia majani makavu ya uwatu ( kasuri methi)
THIS RECIPE IN ENGLISH • CHICKEN AFGHANI - ENGLISH
Aroma of Zanzibar social media
/ fathiya.ismail
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?searc...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukambok...
Music courtesy / contemplative-middle-east-oud-improvisation
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world