Mahitaji
https://Unga wa mikate
Vikombe 3 unga wa atta na 2 unga wa ngano ( unaweza kufanya unga wa ngano pekee) /450gms
Jjk 1 and 1/2 chai baking powder
Chumvi kiasi
Mayai 2
Mafuta ya kupikia vijiko 5 vikubwa
Maji vikombe 3 mpka 4
Mataarisho ya nyama
Nyama ya kusaga kiasi kilo
Kitunguu maji kiasi 1 au zaidi
Pili pili manga ya unga kiasi chako
Unga wa bizari nzima kijiko 1 cha kulia
Unga wa giligilani kijiko 1 cha kulia
Tangwaizi mbichi na thom ya kusaga kjk 1 na nusu cha kulia
Majani ya dania/kotmiri/giligilani - kiasi
MSANIF RECIPE KUTOKA @queenshibaskitchen9130
• MSANIF / VISENEF (Ramadhan bites)
THIS RECIPE IN ENGLISH • MSANIF ( STUFFED PAN CAKES) HOW TO PR...
www.instagram.com/fathiya.ismail/
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?searc...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukambok...
Music courtesy / contemplative-middle-east-oud-improvisation
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world